Copyright © WITNESS.ORG. 80 Hanson Place, 5th Floor, Brooklyn, NY, 11217 | Voice: 718.783.2000 | Fax: 718.783.1593
Tip shuka
Vidokezo zifuatazo zimeundwa kama njia rahisi na ya haraka kufuata wakati wa kunasa filamu ya kawaida, kutumia simu ya rununu, kufanya mahojiano, kuhoji waathiriwa wa unyanyasaji wa kijinsia, kunasa filamu ya nyaraka na ushaihidi wa haki za binadamu, kuweka video katika mtandao na mengineyo . Mengi zaidi yataongezwa katika sehemu hii kama tafsiri itakavyoruhusu, kwa hivyo tafadhali endelea kuwa nasi ndiposa upate mawaidha zaidi.
